Ontario
Mandhari
Ontario ' |
|||
---|---|---|---|
Jimbo | |||
![]() |
![]() |
||
Kauli Mbiu Loyal she began, loyal she remains (en) Akiwa mwaminifu alianza, mwaminifu anabaki. |
|||
Wimbo wa taifa "A Place to Stand" |
|||
![]() | |||
Nchi | Kanada | ||
Jiji kubwa na mji mkuu | Toronto | ||
Ilijiunga | Julai 1, 1867 (mwasisi) | ||
Lugha Rasmi | Kiingereza, Kifaransa | ||
Lugha Zinazozungumzwa | Kiingereza 86.1% Kifaransa 2.4% Kikantoni 2.1% Kipunjabi 2.1% |
||
Utaifa | M-Ontario | ||
Serikali | |||
Waziri Mkuu | Doug Ford (PC) | ||
Naibu Gavana | Edith Dumont | ||
Eneo | |||
Jumla | 1,076,395 km² | ||
Ardhi | 917,741 km² | ||
Maji | 158,654 (0.00%) | ||
Idadi ya Watu | |||
Kadirio | ![]() | ||
Pato la Taifa (2023) | |||
Jumla | ![]() |
||
Kwa kila mtu | ![]() |
||
HDI (2019) | 0.943 (3) Maendeleo ya Juu Sana |
||
Mapato ya Kati ya Kaya (2020) |
$111,866 CAD (3) | ||
Majira ya saa | UTC−05:00 (Eastern) UTC−06:00 (Central, sehemu ndogo) |
||
Tovuti 🔗ontario.ca |
Ontario ni jimbo la Kanada upande wa Ghuba ya Hudson tangu 1867.Ontario inapakana na Quebec, New York, Michigan na Manitoba. Upande wa kusini kuna Ziwa Superior, Ziwa Huron, Ziwa Erie na Ziwa Ontario.Mnamo 2022 ina idadi ya watu 15.6 na eneo la km² 1,076,395 ni jimbo kubwa la pili katika Kanada baada ya Quebec. Mji mkuu ni Toronto ambayo pia ni mji mkubwa wa Kanada.Lugha rasmi ni Kiingereza na Kifaransa
Miji Mikubwa
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ontario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |